Tunguska ya chini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mto Tunguska
Beseni la Nizhnyaya Tunguska pamoja mto Yenisei.

Tunguska ya chini (kwa Kirusi: "Nizhnaya Tunguska") ni mto ulioko Urusi; una urefu wa kilometa 2,989.

Ni tawimto la mto Yenisei unaopeleka maji yake hadi Bahari ya Kara (bahari ya pembeni ya Bahari Aktiki). Wastani wa mkondo wake ni mita za ujazo 3.680 kwa sekunde.

Chanzo chake kipo kwenye Oblast ya Irkutsk. Mdomo upo katika Krasnoyarsk Krai.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Urusi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Tunguska ya chini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.