Yenisey
Mandhari
(Elekezwa kutoka Mto Yenisei)
| Chanzo | Mto Ka-Hem, Urusi |
| Mdomo | Bahari ya Kara |
| Nchi | Urusi |
| Urefu | 3,487 km |
| Kimo cha chanzo | 650 m |
| Mkondo | 19,800 m³/s |
| Eneo la beseni | 2,580,000 km² |
| Miji mikubwa kando lake | Kyzyl, Abakan, Krasnoyarsk, Lesosibirsk, Yeniseysk, Igarka, Dudinka |
Yenisey au Yenisei (kwa Kirusi: Енисей) ni mto mrefu wa Siberia, Urusi. Urefu wake ni km. 3487. Uko katika mkoa wa Tuva, Krasnoyarsk Krai na Hakasia.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu maeneo ya Urusi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Yenisey kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |