Yenisey

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Yenisey
Mto Yenisei
Chanzo Mto Ka-Hem, Urusi
Mdomo Bahari ya Kara
Nchi Urusi
Urefu 3,487 km
Kimo cha chanzo 650 m
Mkondo 19,800 m³/s
Eneo la beseni 2,580,000 km²
Miji mikubwa kando lake Kyzyl, Abakan, Krasnoyarsk, Lesosibirsk, Yeniseysk, Igarka, Dudinka

Yenisey au Yenisei (Kirusi: Енисей) ni mto mrefu wa Siberia, Urusi. Urefu wake ni 3487 km. Iko katika mkoa wa Tuva, Krasnoyarsk Krai na Hakasia.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]