Trinidad (kisiwa)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Trinidad (jina la Kihispania lenye maana ya "Utatu") ni kisiwa cha Karibi, cha tano kwa ukubwa, kinachounda na Tobago na visiwa vingine vidogo nchi huru ya Trinidad na Tobago.

Eneo lake ni la Km² 4,768, na linakaliwa na watu 1,300,000, wengi wakiwa na asili ya India na Afrika.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu: