Tobago

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Tobago ni kisiwa cha Karibi kinachounda na Trinidad na visiwa vingine vidogo nchi huru ya Trinidad na Tobago.

Eneo lake ni la Km² 300, na linakaliwa na watu 60,874, wengi wakiwa na asili ya Afrika.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Simple English Wiktionary
Wikamusi ya Kiswahili ina maelezo na tafsiri ya maana ya neno:

Wikivoyage-Logo-v3-icon.svg Tobago travel guide kutoka Wikisafiri