Trésor Mputu
Mandhari
Trésor Mputu Mabi (alizaliwa 10 Desemba 1985) ni mchezaji wa soka wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambaye anacheza katika klabu ya TP Mazembe na timu ya taifa ya mpira wa miguu ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Ameelezewa na kocha wa zamani wa Kameruni na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Claude Le Roy ajulikanae kama "Samuel Eto'o", ambaye alicheza Kombe la Dunia 1998 akiwa na umri wa miaka 17.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Trésor Mputu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |