Nenda kwa yaliyomo

Topolojia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kikombe kinageuka kuwa "torus"; nafasi ileile kwa maumbo tofauti

Topolojia (kutoka maneno ya Kigiriki: τόπος, tópos, "mahali", na λόγος, lógos, "elimu") ni tawi la somo la hisabati.

Linaelezea tabia za nafasi ambazo haziathiriwi na mabadiliko endelevu ya maumbo yao, kama vile mkunjuo au fundo.

Somo hili limegawanyika katika matawi kadhaa, ambayo ni: topolojia ya kialjebra, topolojia ya kutofautisha na topolojia ya kijiometri.

Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Topolojia kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.