Nenda kwa yaliyomo

Toni Braxton (albamu)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Toni Braxton
Toni Braxton Cover
Studio album
Single za kutoka katika albamu ya {{{Jina}}}
  1. "Love Shoulda Brought You Home"
  2. "Another Sad Love Song"
  3. "Breathe Again"
  4. "Seven Whole Days"
  5. "You Mean the World to Me"
  6. "I Belong to You"
  7. "How Many Ways"


Toni Braxton

Toni Braxton ni albamu ya mwanzo ambayo imetolewa na mwimbaji wa R&B wa Marekani mwenye jina lilo hilo Toni Braxton. Ilitolewa nchini Marekani mnamo 13 Julai 1993 na shirika la LaFace Records ilikaa katika chati za Billboard 200 kwa majuma mawili yasiyofuatana na ikauza nakala zaidi ya nakala milioni nane nchini Marekani pekee.

Toleo la Kijapani

[hariri | hariri chanzo]

Nchini Japan inajulikana kama Love Affair, ambalo pia ni jina lakibao katika albamu hiyo. Toleo la hilo ni sawa na lile la kawaida ambalo lina vibao 12. Tofauti pekee ni Obi strip na kijitabu cha maneno ya nyimbo hizo zikiwa zimeandikwa katika maandishi ya Lugha ya Kijapani.

Orodha ya Vibao

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Another Sad Love Song" (Babyface, Daryl Simmons) – 5:01
  2. "Breathe Again" (Babyface) – 4:29
  3. "Seven Whole Days" (Antonio "L.A." Reid, Babyface) – 6:22
  4. "Love Affair" (Tim Thomas, Teddy Bishop) – 4:28
  5. "Candlelight" (Gaylor Dunn, John Barnes) – 4:36
  6. "Spending My Time with You" (Bo Watson, McArthur) – 4:08
  7. "Love Shoulda Brought You Home" (Babyface, Simmons, Watson) – 4:56
  8. "I Belong to You" (Vassal Benford, Ronald Spearman) – 3:53
  9. "How Many Ways" (Vincent Herbert, Toni Braxton, Noel Goring, Keith Miller, Phillip Field) – 4:45
  10. "You Mean the World to Me" (Reid, Babyface, Simmons) – 4:53
  11. "Best Friend" (Braxton, Vance Taylor) – 4:28
  12. "Breathe Again" (Reprise) (Babyface) – 1:19

Toleo la Uropa

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Give U My Heart" (Mad Ball Mix) (Babyface akimshirikisha Toni Braxton) (Reid, Babyface, Simmons, Watson) – 6:11
Chati (1993) Kilele
U.S. Billboard Top R&B/Hip-Hop Albums[1] 1
Chati (1994) kilele
Australian Albums Chart[2] 6
Dutch Albums Chart[2] 11
Hungarian Albums Chart[3] 39
Japanese Albums Chart[4] 79
New Zealand Albums Chart[2] 2
Norwegian Albums Chart[2] 14
Swedish Albums Chart[2] 24
UK Albums Chart[5] 4
U.S. Billboard 200[1] 1
Chati (1997) kilele
German Albums Chart[6] 7

Vyeti vya Uthibitisho

[hariri | hariri chanzo]
Nchi Mkabidhi Thibitisho Mauzo
Canada CRIA 2× platinum[7] 200,000
Netherlands NVPI GoldHitilafu ya kutaja: Closing </ref> missing for <ref> tag 100,000
United States RIAA 8× platinum[8] 8,000,000
  1. 1.0 1.1 "Toni Braxton > Charts & Awards > Billboard Albums". Allmusic. Iliwekwa mnamo 2008-10-04.
  2. 2.0 2.1 2.2 2.3 2.4 "Toni Braxton – Toni Braxton – swisscharts.com". swisscharts.com. Iliwekwa mnamo 2008-10-04.
  3. "Top 40 album- és válogatáslemez-lista – 1994. 16. hét". Mahasz (kwa Hungarian). Iliwekwa mnamo 2008-10-04.{{cite web}}: CS1 maint: unrecognized language (link)
  4. "Love Affair – Oricon". Oricon (kwa Japanese). Iliwekwa mnamo 2009-07-24.{{cite web}}: CS1 maint: unrecognized language (link)
  5. "Chart Stats – Toni Braxton – Toni Braxton". Chart Stats. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-05-24. Iliwekwa mnamo 2008-10-04.
  6. "Musicline.de – Toni Braxton – Toni Braxton". Musicline.de (kwa German). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-03-07. Iliwekwa mnamo 2008-10-04.{{cite web}}: CS1 maint: unrecognized language (link)
  7. "CRIA: Search Certification Database". CRIA. 16 Juni 1995. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-01-11. Iliwekwa mnamo 2009-07-20.
  8. "RIAA – Gold & Platinum". RIAA. 28 Februari 1997. Iliwekwa mnamo 2009-07-20.
Alitanguliwa na
Kickin' It Up ya John Michael Montgomery
Music Box ya Mariah Carey
Albamu ya kwanza katika U.S. Billboard 200
26 Februari 1994 (mara ya kwanza)
19 Machi 1994 (mara ya pili)
Akafuatiwa na
Music Box by Mariah Carey
Superunknown ya Soundgarden
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Toni Braxton (albamu) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.