Titilope Gbemisola Akosa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Titilope Gbemisola Akosa (maarufu kama Titilope Akosa; alizaliwa Lagos, Nigeria) ni mwanamazingira, mtetezi wa haki ya hali ya hewa, mwanasheria, mtaalam wa jinsia na jamii, na mwanaharakati wa haki za binadamu wa Nigeria. Akosa ni mwanzilishi na mkurugenzi mtendaji wa shirika lisilo la kiserikali la Kituo cha Masuala ya Karne ya 21. Anaongoza kampuni ya uwakili ya Titi Akosa & Co Nigeria.[1][2][3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Does Paris Climate Accord hang Women, Indigenous People". Juan Cole. 21 December 2015. Iliwekwa mnamo 8 May 2020.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  2. "African Peoples to Europe: Don’t Hijack Our Renewable Energy", IDC News, 21 December 2015. Retrieved on 8 May 2020. 
  3. "Towards a Gender Responsive Green Climate Fuund in Africa", Climate-Chance.Org, 21 September 2015. Retrieved on 8 May 2020. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Titilope Gbemisola Akosa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.