Tilfi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tilfi ni mbinu ya kitamaduni ya kusuka huko Banarasi brocades ambapo hutumia nyuzi za rangi tatu. Neno hili lilianzishwa na wasukaji wengi na chapa ya varanasi, ya Kihindi yenye jina moja la Tilfi Banaras. [1] [2] [3]

Tilfi pia ni vazi la Eritrea lililotengenezwa kwa mikono, lililo na mshono unaofanana na msalaba kuzunguka eneo la kifua, shingo na kifundo cha mkono. Baadhi ya wanawake huweka na sehemu ndogo kama vifungo au dhahabu ya karati karibu na mtindo husika.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Tilfi. "Tilfi: Luxurious, handloom only clothing from the heart of Banaras". Tilfi (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2019-07-16. 
  2. "A guide to traditional handlooms inspired by the riches of Banaras". Vogue India (kwa en-US). 2019-05-30. Iliwekwa mnamo 2019-07-16. 
  3. "Rooted In Tradition, Tilfi Is Giving Banarasi A Modern Twist" (kwa en-US). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-07-16. Iliwekwa mnamo 2019-07-16.