Tick Tock (wimbo)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
“Forever”
Single ya Mayestron
Imetolewa 29 Oktoba 2018
Muundo Upakuzi mtandaoni
Imerekodiwa 2018
Aina Euro-Pop, R&B
Urefu 2:34
Studio COP Record Entertainment
Mtunzi Mayestron
Mtayarishaji Mayestron
Mwenendo wa single za Mayestron
"Forever"
(2017)
"Billies (na Andrejs)"
(2017)
"Too Late"
(2017)
Video ya muziki
"Tick Tock" katika YouTube

"Tick Tock" ni jina la wimbo wa msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania, Mayestron uko Ulaya Ireland mwaka wa 2018, umetolewa rasmi 29 Oktoba 2018.

Wimbo umetayarishwa na Mayestron mwenyewe kupitia studio yake ya COP Record Entertainment nchini Ireland. Wimbo huu ulifanyiwa usambazaji na kampuni kubwa ya "Onerpm" inayopatikana uko New York Blooklyn. Huu ni wimbo wa pili wa Mayestron kutoa na kufanya bidii ya usambazaji kwenye vituo vya redio nchini uko Ireland. Tena ni wimbo wake wa pili kupata watazamaji wengu katika Youtube ndani ya masaa machace. Kuupata wimbo huu kwwnye mtandao wa YouTube.

Musical notes.svg Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tick Tock (wimbo) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.