Don't Wanna See Me (wimbo)
Mandhari
“Don't Wanna See Me” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya Mayestron akimshirikisha Peaks | |||||
Imetolewa | 26 Machi, 2019 | ||||
Muundo | Upakuzi mtandaoni | ||||
Imerekodiwa | 2019 | ||||
Aina | Hip Hop | ||||
Urefu | 3:34 | ||||
Studio | COP Record Entertainment Peloomic Inc | ||||
Mtunzi | Mayestron Peaks | ||||
Mtayarishaji | Mayestron | ||||
Mwenendo wa single za Mayestron akimshirikisha Peaks | |||||
| |||||
Video ya muziki | |||||
"Don't Wanna See Me" katika YouTube |
"Don't Wanna See Me"[1] ni jina la wimbo wa Mayestron, msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania, akimshirikisha mwana rapa toka Ujerumani maarufu kwa jina la Peaks.
Wimbo umetayarishwa na Mayestron pamoja na Peaks kupitia studio zao tofauti, Mayestron ametayarisha mashairi yake nchini Ireland na Peaks pia amemalizia mashairi yake na tarehe 26 Machi wakautoa huo wimbo. Wimbo huo umefanya vizuri sana kwenye mtandao wa YouTube ndani ya masaa machache.
- ↑ "Colabo na rappa wa asili ya Ujerumani Peaks". AllMusic.com. Iliwekwa mnamo 2020.
{{cite web}}
: Check date values in:|accessdate=
(help)