Thyra J. Edwards

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Thyra J. Edwards

Thyra Johnson Edwards (25 Disemba 1897 - 9 Julai 1953) alikuwa Mmarekani mwenye asili ya Afrika mwalimu, mwanajamii, mwandishi wa habari, na mtetezi wa haki za kibinadamu pamoja na kuwa Pan-Africanist, na Mkomunisti.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Gregg Andrews, Thyra J. Edwards: Black Activist in the Global Freedom Struggle (Columbia: University of Missouri Press, 2011). ISBN 9780826219121
People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Thyra J. Edwards kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.