Thumbelina (filamu ya 1994)
Mandhari
Thumbelina | |
---|---|
Imeongozwa na | |
Imetayarishwa na |
|
Imetungwa na | Don Bluth |
Nyota | |
Muziki na | |
Imehaririwa na | Fiona Trayler |
Imesambazwa na | Warner Bros. |
Imetolewa tar. | 30 Machi 1994 |
Ina muda wa dk. | Dk. 86 |
Nchi | Marekani |
Lugha | Kiingereza |
Bajeti ya filamu | $28 million |
Mapato yote ya filamu | $11.3 million |
Thumbelina (inajulikana pia kama Hans Christian Andersen's Thumbelina) ni filamu ya katuni-muziki ya mwaka 1994 kutoka Marekani.[1][2] Nyota wa filamu hii waliotia sauti zao ni pamoja na Jodi Benson, Gary Imhoff na John Hurt.[3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "(Movie listings)", The Capital Times, 29 Machi 1994, p. 3D. "Thumbelina – starts tomorrow [March 30]"
- ↑ "(movie listings)", The Los Angeles Times, 30 Machi 1994, p. F13oc. "(21 listings)"
- ↑ Lenburg, Jeff (1999). The Encyclopedia of Animated Cartoons. Checkmark Books. uk. 208. ISBN 0-8160-3831-7. Iliwekwa mnamo 6 Juni 2020.
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Thumbelina (filamu ya 1994) kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |