Nenda kwa yaliyomo

Thomas Aquino Manyo Maeda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Thomas Aquino Manyo Maeda (前田万葉, Maeda Manyō; 3 Machi 1949) ni kiongozi wa Kanisa Katoliki kutoka Japani ambaye amehudumu kama Askofu Mkuu wa Osaka-Takamatsu tangu 2023.

Hapo awali, alikuwa Askofu Mkuu wa Osaka kuanzia 2014 hadi 2023 na Askofu wa Hiroshima kutoka 2011 hadi 2014. Papa Fransisko alimteua kuwa kardinali tarehe 28 Juni 2018.[1]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.