The Kung-Fu Master Jackie Chan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kung-Fu Master Jackie Chan
Title screen of The Kung-Fu Master Jackie Chan.
Title screen of The Kung-Fu Master Jackie Chan.
Developer(s) Atop
Publisher(s) Kaneko
Platform(s) Arcade
Release date(s) 1995
Genre(s) Fighting game
Mode(s) Single player, 2-player
CPU (2x) 68000 (@ 16 Mhz)
Sound Sound Chips : YMZ280B (@ 14.3182 Mhz)
Display Horizontal, 320 x 240 pixels, 60.00 Hz, 32768 colors

The Kung-Fu Master Jackie Chan ni mchezo wa video wa 1995 wa kupigana aina ya arcade ambao umekuzwa na Atop na kuchapishwa na Kaneko. Unashirikisha msanii maarufu wa Hong Kong Jackie Chan. Kama Blood Warrior, ambao pia ni amchezo ulioundwa na Atop na kuchapishwa na Kaneko, mchezo huu hutumia picha za digital za waigizajiwa halisi katika mchezo, na inachochewa na na mshururu wa Midway Mortal Kombat katika mbinu za uonekanaji, damu na mbinu za kumalizia na haupatikani kwa urahisi. Baadaye mchezo huu ulubadilishiwa jina na kuitwa Jackie Chan in Fists of Fire: Jackie Chan Densetsu (ジャッキー・チェン FISTS OF FIRE 成龍伝説 lit. "Jackie Chan in Fists of Fire: The Legend of Jackie Chan"?).

Uchezaji[hariri | hariri chanzo]

Uchezaji wa The Kung-Fu Master Jackie Chan' unafanana na michezo mingine ya 2D ya kupigana katika kipindi hicho cha historia. Hata hivyo, Koneko inaonekana kuchukua mawazo yao kutoka kwa mchezo wa Mortal Kombat kwa njia ya uwasilishaji na mbinu za kumalizia.

Mhusika wa mchezaji anapigana dhidi ya mpinzani wake katika wa 2/3 bora katika fashoni ya mchuano wa pekee dhidi ya tarakilishiau mchezaji mwingine. Mchezaji huwa na wahusika 6 mwanzoni wa kuchagua, kila mmoja akiwa na mbinu tofauti za kupigana kutegemea utamaduni wa Japan. Katika fashoni ya mchezaji mmoja, baada ya kuchagua mhusika, mfumo wa tarakilishi huchagua mpinzani kibahati. Mpangilio wa wapinzani huwa katika utaratibu wowote, huku ukiacha fashoni moja ya kati ya tatu kumalizia. Kinyume na mshururu wa Mortal Kombat, baadhi ya mbinu za kumalizia hazina damu na huenda zisimharibu mpinzani.

Wahusika[hariri | hariri chanzo]

Mwanzoni kuna wahusika sita mchezaji anaweza kuchezea na watatu wa kufumbua.Wote ni tisa.

  • Lau (ロウ?) - Anatumia karate. Amebadilishwa katika toleo jipya la Fists of Fire.
  • Yeung (ヤン?) - Anatumia bōjutsu. Amebadilishwa katika toleo jipya la Fists of Fire.
  • Sam (サム?) - Anatuumia kung-fu.
  • Thorsten (トステン?) – Anatumia sarakasi za kitambo. Amebadilishwa katika toleo jipya la Fists of Fire.

Wakuu[hariri | hariri chanzo]

Baada ya kushinda wahusika waliootajwa huko juu, Wachezai watakutana na Jackie Chan katika moja kati ya mbinu tatu ambayo inachaguliwa kibahati naye kama mkuu wa mwisho. Sehemu hii haichezeki katika mchezo wa awali bali huchezeka katika toleo jipya la Fists of Fire.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]