Nenda kwa yaliyomo

The Haunted Hathaways

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Haunted Hathaways ni tamthilia iliyorushwa na kituo cha televisheni cha Marekani Nickelodeon kuanzia kwenye Julai 13, 2013, na kumalizika mnamo Machi 5, 2015.

Inasimulia hadithi ya mama mmoja na binti zake wawili ambao huhamia kwenye nyumba inayokaliwa na vizuka vitatu, baba na wanawe wawili. Familia hizo mbili hutatua shida zao kwa kutumia nguvu za roho na za kawaida.

Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu The Haunted Hathaways kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.