That's the Way It Is

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
“That's The Way It Is”
“That's The Way It Is” cover
Single ya Céline Dion
kutoka katika albamu ya All the Way… A Decade of Song
Imetolewa 1 Novemba 1999
Muundo CD single, 12" single
Imerekodiwa Paradise Sounds, Cheiron Studios
Aina Pop
Urefu 4:01
Studio Columbia, Epic
Mtunzi Max Martin, Kristian Lundin, Andreas Carlsson
Mtayarishaji Max Martin, Kristian Lundin
Certification Platinamu (Sweden)
Dhahabu(Australia, Ubelgiji, Ujerumani)
Fedha(Ufaransa)
Mwenendo wa single za Céline Dion
"Dans un autre monde"
(1999)
"That's the Way It Is"
(1999)
"Then You Look at Me"
(1999)

"That's the Way It Is" ni single kiongozi kutoka katika albamu ya Céline Dion ya muziki mchanganyiko ya All the Way… A Decade of Song, iliyotolewa mnamo tar. 1 Novemba 1999.[1]

Ilitungwa na kutayarishwa chini ya kikosi cha watayarishaji wa Kisweden Max Martin na Kristian Lundin, ambao wamewahi kuandika vibao vikali vya wasanii kama vile 'N Sync, Backstreet Boys na Britney Spears[2] Céline Dion aliimba wimbo huu laivu na kundi zima la muziki wa pop na R&B la 'N Sync, wakati wa kipindi chake maalum cha TV ya CBS mnamo 1999.

Pia alishawahi kuumba wimbo huu tena wa "That's the Way It Is" kunako 1999 wakati wa ugawaji wa Tuzo za Billboard maarufu kama Billboard Music Awards na pia mwishoni mwa sherehe za Let's Talk About Love Tour.

Muundo na orodha ya nyimbo[hariri | hariri chanzo]

Australia/Ulaya/Japani/UK CD single

 1. "That's the Way It Is" – 4:01
 2. "I Met an Angel (On Christmas Day)" – 3:20

Australian/Ulaya/UK CD maxi single

 1. "That's the Way It Is" – 4:01
 2. "I Met an Angel (On Christmas Day)" – 3:20
 3. "My Heart Will Go On" (live) – 5:23

UK CD maxi single #2

 1. "That's the Way It Is" – 4:01
 2. "That's the Way It Is" (Metro club remix) – 5:28
 3. "Another Year Has Gone By" – 3:24

U.S. CD maxi single

 1. "That's the Way It Is" – 4:01
 2. "That's the Way It Is" (Metro club remix) – 5:28
 3. "I Want You to Need Me" (Thunderpuss radio mix) – 4:32
 4. "I Want You to Need Me" (Thunderpuss club mix) – 8:10

Toleo rasmi[hariri | hariri chanzo]

 1. "That's the Way It Is" (Metro mix edit) – 3:12
 2. "That's the Way It Is" (Metro mix) – 3:20
 3. "That's the Way It Is" (Metro club remix) – 5:28
 4. "That's the Way It Is" (toleo la albamu) – 4:01

Chati[hariri | hariri chanzo]

Chati (1999) Nafasi
iliyoshika
Australian Singles Chart[3] 14
Austrian Singles Chart[4] 8
Belgian Flanders Singles Chart[5] 17
Belgian Wallonia Singles Chart[6] 7
Canadian Singles Chart[7] 13
Canadian Adult Contemporary Chart[8] 1
Dutch Singles Chart[9] 7
European Singles Chart[10] 2
Finnish Singles Chart[11] 4
French Singles Chart[12] 6
German Singles Chart[13] 8
Irish Singles Chart[14] 12
Italian Singles Chart[15] 3
New Zealand Singles Chart[16] 7
Norwegian Singles Chart[17] 3
Spanish Singles Chart[18] 7
Swedish Singles Chart[19] 2
Swiss Singles Chart[20] 5
UK Singles Chart[21] 12
U.S. Billboard Hot 100[22] 6
U.S. Billboard Hot Adult Contemporary Tracks[23] 1
U.S. Billboard Hot Adult Top 40 Tracks[24] 5
U.S. Billboard Hot Dance Singles Sales[25] 7
U.S. Billboard Hot Latin Pop Airplay[26] 19
U.S. Billboard Latin Tropical Airplay[27] 17
U.S. Billboard Rhythmic Top 40[28] 40
U.S. Billboard Top 40 Mainstream[29] 3
U.S. Billboard Top 40 Tracks[30] 3

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

 1. Glatzer, Jenna (2005). Céline Dion: For Keeps. Andrews McMeel Publishing. ISBN 0-7407-5559-5. 
 2. Céline Dion. Jalada kutoka ya awali juu ya 2007-12-13. Iliwekwa mnamo 2009-02-13.
 3. Australian Singles Chart
 4. Austrian Singles Chart
 5. Belgian Flanders Singles Chart
 6. Belgian Wallonia Singles Chart
 7. Canadian Singles Chart
 8. Canadian Adult Contemporary Chart. Jalada kutoka ya awali juu ya 2009-02-14. Iliwekwa mnamo 2009-02-13.
 9. Dutch Singles Chart
 10. European Singles Chart. Jalada kutoka ya awali juu ya 2009-05-25. Iliwekwa mnamo 2009-02-13.
 11. Finnish Singles Chart
 12. French Singles Chart[dead link]
 13. German Singles Chart
 14. Irish Singles Chart. Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-12-01. Iliwekwa mnamo 2009-02-13.
 15. Italian Singles Chart. Jalada kutoka ya awali juu ya 2005-03-01. Iliwekwa mnamo 2009-02-13.
 16. New Zealand Singles Chart. Jalada kutoka ya awali juu ya 2007-06-21. Iliwekwa mnamo 2009-02-13.
 17. Norwegian Singles Chart. Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-07-22. Iliwekwa mnamo 2009-02-13.
 18. Spanish Singles Chart
 19. Swedish Singles Chart
 20. Swiss Singles Chart
 21. UK Singles Chart
 22. Billboard Hot 100. Jalada kutoka ya awali juu ya 2008-01-06. Iliwekwa mnamo 2009-02-13.
 23. Hot Adult Contemporary Tracks. Jalada kutoka ya awali juu ya 2009-02-05. Iliwekwa mnamo 2009-02-13.
 24. Hot Adult Top 40 Tracks. Jalada kutoka ya awali juu ya 2008-06-21. Iliwekwa mnamo 2009-02-13.
 25. Hot Dance Singles Sales. Jalada kutoka ya awali juu ya 2009-05-12. Iliwekwa mnamo 2009-02-13.
 26. Hot Latin Pop Airplay
 27. Latin Tropical Airplay
 28. Rhythmic Top 40
 29. Top 40 Mainstream. Jalada kutoka ya awali juu ya 2009-05-20. Iliwekwa mnamo 2009-02-13.
 30. Top 40 Tracks. Jalada kutoka ya awali juu ya 2009-02-05. Iliwekwa mnamo 2009-02-13.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Kigezo:Single za Celine Dion