Terni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Muonekano wa mji wa Terni


Terni ni mji wa mkoa wa Umbria, Italia ya Kati, na makao makuu ya wilaya yenye jina hilohilo.

Una wakazi 110,432 (2018) na hivyo ni wa 41 nchini Italia.

Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Terni kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.