Teodoro Buhain Jr.
Mandhari
Teodoro Javier Buhain Jr. (4 Agosti 1937 – 13 Novemba 2024) alikuwa mchungaji wa Kanisa Katoliki kutoka Ufilipino. Alikuwa askofu msaidizi wa Manila kuanzia 1983 hadi 2003.
Pia alikuwa askofu wa kihadhari wa Bacanaria hadi alipoaga dunia. [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Retired Manila bishop Teodoro Buhain Jr., ex-aide to Cardinal Sin, dies at 87", Rappler, November 13, 2024.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |