Nenda kwa yaliyomo

Telegram

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
logo ya Telegram

Telegram ni programu ya mawasiliano ya papo hapo inayomruhusu mtumiaji kutuma ujumbe, picha, sauti, na faili zingine kwa watumiaji wengine. Ni sawa na programu nyingine za ujumbe kama WhatsApp, lakini ina baadhi ya sifa tofauti kama vile uwezo wa kuunda makundi makubwa ya watu, kushiriki faili kubwa, na mfumo wa kuhifadhi mazungumzo kwenye cloud ili uweze kuyapata kutoka vifaa tofauti. Pia, Telegram inajulikana kwa kutoa faragha zaidi na ina chaguo la kujifuta meseji kiotomatiki. Ni maarufu kwa ushirikiano wa kimataifa na pia inatumiwa na makundi mengi kama njia ya mawasiliano[1][2].

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "Durov Telegram". Telegram (kwa American English). 8 Februari 2021. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 9 Februari 2021. Iliwekwa mnamo 10 Februari 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Telegram Tops The List Of Most Downloaded Apps In The World For January 2021: Report". Mashable India. 2021-02-09.
Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.