Tarihi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tarihi ni hadithi zinazosimulia kuhusiana na matukio ya kihistoria. Matukio hayo huweza kuwa ya kweli au ya kubuni, lakini huwakilishwa kisanaa ili kuwa ya kuvutia watu.

Mara nyingi wahusika wake ni binadamu, lakini hupewa uwezo mkubwa au mdogo sana kutegemea na tukio linalosimulia.

Mambo yanayosimulia katika tarihi ni kama vile:

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tarihi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.