Nenda kwa yaliyomo

Tarafa ya Lomokankro

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Tarafa ya Lomokankro
Tarafa ya Lomokankro is located in Côte d'Ivoire
Tarafa ya Lomokankro
Tarafa ya Lomokankro

Eneo katika Côte d'Ivoire

Majiranukta: 7°5′5″N 5°1′52″W / 7.08472°N 5.03111°W / 7.08472; -5.03111
Nchi Bendera ya Côte d'Ivoire Cote d'Ivoire
Jimbo Lacs
Mkoa Bélier
Wilaya Tiébissou
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 14,835 [1]

Tarafa ya Lomokankro (kwa Kifaransa: Sous-préfecture de Lomokankro) ni moja kati ya Tarafa 4 za Wilaya ya Tiébissou katika Mkoa wa Bélier ulioko katikati ya Cote d'Ivoire [2].

Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa 14,835 [1].

Makao makuu yako Lomokankro (mji).

Hapa chini ni majina ya vijiji 23 vya tarafa ya Lomokankro na idadi ya wakazi mwaka 2014 [2]:

  1. Aboblakro (614)
  2. Amienkro (318)
  3. Assé-N'gattakro (1 318)
  4. Assoko Yao Djèkro (582)
  5. Atchin Koffikro (450)
  6. Bakro-Sakassou (418)
  7. Bongobo (1 184)
  8. Bouégbessou (996)
  9. Bouékro (307)
  10. Djahakro (283)
  11. Gogokro (362)
  12. Hodoukou (812)
  13. Koffi N'gorankro (460)
  14. Koua-Kouassikro (485)
  15. Kouassi-Afflékro (226)
  16. Kpassanou (831)
  17. Kpodjou-Kpangbassou (204)
  18. Lomokankro (1 282)
  19. Lougbéli (653)
  20. N'gangoro-Ahitou (846)
  21. N'gatta-N'guessanblékro (397)
  22. N'zissiessou (1 391)
  23. Wawakro (416)
  1. 1.0 1.1 "Côte d'Ivoire". geohive.com. Iliwekwa mnamo 22 Julai 2019.
  2. 2.0 2.1 "RGPH 2014, Répertoire des localités, Région Bélier" (PDF). ins.ci. Iliwekwa mnamo 5 Agosti 2019.