Tanguy Ndombele

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tanguy Ndombélé (alizaliwa 28 Desemba 1996) ni mchezaji wa soka wa Ufaransa ambaye anacheza katika klabu ya Uingereza Tottenham Hotspur.

Maisha[hariri | hariri chanzo]

Ndombele alizaliwa nchini Ufaransa na wazazi wenye asili ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Alianza kazi yake na L'Équipe.

Tarehe 31 Agosti 2017, Ndombele alihamia Lyon kwa mkopo wa mwaka mmoja. Kulingana na klabu ya L'Équipe, Lyon ililipa milioni 2 ya mkopo. Lyon pia ilipewa fursa ya kumsajili kwa kudumu kwa milioni 8 na Lyon ilikubali dai hilo.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tanguy Ndombele kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.