Nenda kwa yaliyomo

Tahini roll

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Roli ya tahini au tahini keki ni keki tamu inayopatikana kawaida katika vyakula vya nchi za Kiarabu, Armenia, Kupro, Ugiriki na Uturuki.

tahini roll

Unga pamoja na sukari na mafuta na ina muundo kati ya mkate na visheti.Umetiwa amira na inaweza kuokwa baada ya kuumuka.[1]  Wakati mwingine keki inaweza kulowekwa katika sharubati ya sukari au asali, na kutiwa ladha ya mdalasini.[2]

Roli ya Tahini hutengenezwa kwa kukunja unga uwe na umbo la mduara, kueka kwa mchanganyiko wa tahini, unanyunyiza sukari.Kisha hukatwa vipande vidogo.

Kwa mujibu wa mpishi wa Palestina Sami Tamimi, keki hiyo ilianzia Armenia.

[4][5][6][7][8]

  1. https://www.latimes.com/recipe/tahini-cookies
  2. https://www.theglobeandmail.com/life/food-and-wine/recipes/recipe-traditional-cypriot-tahini-pies/article25201735/
  3. Brehaut, Laura (2020-07-10), "Cook this: Kubez el tahineh — sweet tahini rolls — from Falastin", National Post (kwa Kiingereza), iliwekwa mnamo 2022-06-14
  4. https://en.m.wikipedia.org/wiki/Tahini_roll#cite_note-5
  5. https://pure.roehampton.ac.uk/ws/portalfiles/portal/2426533/Dancing_the_self.pdf
  6. https://www.latimes.com/recipe/tahini-cookies
  7. https://dergipark.org.tr/tr/download/article-file/519059
  8. https://www.theglobeandmail.com/life/food-and-wine/recipes/recipe-traditional-cypriot-tahini-pies/article25201735/