Kibisi
Mandhari
(Elekezwa kutoka Tachybaptus)
Kibisi | ||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||
| ||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||
Jenasi 6:
|
Vibisi ni ndege wa maji wa familia ya Podicipedidae. Domo lao jembamba kuliko mabata lina ncha kali. Vibisi huzamia majini ili kukamata samaki. Hujenga tago lao kwa matete linaloelea juu ya maji na hulifungia tete au mmea mwingine wa maji. Jike huyataga mayai 2-7. Kwa kawaida makinda wana milia na mara nyingi hubebwa mgongoni kwa mzazi.
Spishi za Afrika
[hariri | hariri chanzo]- Podiceps auritus, Kibisi Masikio (Horned au Slavonian Grebe)
- Podiceps cristatus, Kibisi Ushungi (Great Crested Grebe)
- Podiceps c. cristatus, Kibisi Ushungi wa Ulaya (European Great Crested Grebe)
- Podiceps c. infuscatus, Kibisi Ushungi wa Afrika (African Great Crested Grebe)
- Podiceps grisegena, Kibisi Shingo-nyekundu (Red-necked Grebe)
- Podiceps nigricollis, Kibisi Shingo-nyeusi (Black-necked Grebe)
- Podiceps n. gurneyi, Kibisi Shingo-nyeusi (African Black-necked Grebe)
- Tachybaptus pelzelnii, Kibisi wa Madagaska (Madagascar Grebe)
- Tachybaptus ruficollis, Kibisi Mdogo (Little Grebe)
- Tachybaptus r. capensis, Kibisi Mdogo wa Afrika (African Little Grebe)
- Tachybaptus r. ruficollis, Kibisi Mdogo wa Ulaya (European Little Grebe)
- †Tachybaptus rufolavatus, Kibisi wa Alaotra (Alaotra Grebe) imekwisha sasa (miaka ya 1980)
Spishi za mabara mengine
[hariri | hariri chanzo]- Aechmophorus clarkii (Clark's Grebe)
- Aechmophorus occidentalis (Western Grebe)
- †Podiceps andinus (Colombian Grebe) imekwisha sasa
- Podiceps gallardoi (Hooded Grebe)
- Podiceps major (Great Grebe)
- Podiceps occipitalis (Silvery Grebe)
- Podiceps taczanowskii (Junin Grebe)
- †Podilymbus gigas (Atitlán Grebe) imekwisha sasa
- Podilymbus podiceps (Pied-billed Grebe)
- Poliocephalus poliocephalus (Hoary-headed Grebe)
- Poliocephalus rufopectus (New Zealand Grebe or dabchick)
- Rollandia microptera (Titicaca Grebe)
- Rollandia rolland (White-tufted Grebe)
- Tachybaptus dominicus (Least Grebe)
- Tachybaptus novaehollandiae (Australasian Grebe)
- Tachybaptus tricolor (Tricoloured Grebe)
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Kibisi masikio
-
Kibisi ushungi
-
Kibisi shingo-nyekundu
-
Kibisi shingo-nyeusi
-
Kibisi wa Madagaska
-
Kibisi mdogo
-
Kibisi wa Alaotra
-
Clark's grebe
-
Western grebe
-
Western and Clark's grebes
-
Hooded grebes
-
Great grebe
-
Silvery grebe
-
Junin grebe
-
Pied-billed grebe
-
Hoary-headed grebe
-
New Zealand grebe
-
Titicaca grebe
-
White-tufted grebe
-
Least grebe
-
Australasian grebe