Nenda kwa yaliyomo

Tabriz

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tabriz

Tabriz (kwa Kiajemi: تبریز tabriz; kwa Kiazeri təbriz) ni mji mkubwa wa sita wa Iran ukiwa na idadi ya watu milioni 1.7.

Asilimia kubwa za wakazi wake ni Waazeri, wanaofuatwa kwa idadi na Waajemi, Wakurdi na makabila mengine.

Tabriz iko karibu na Ziwa Urmia katika nyanda za juu za Azerbaijan kwenye kimo cha mita 1,350 hadi 1,600. Ni makao makuu ya mkoa wa Azerbaijan Mashariki.

Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Tabriz kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.