Suleiman Masoud Nchambi
Mandhari
Suleiman Masoud Nchambi ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Kishapu kwa miaka 2015 - 2020.[1][2][3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Bunge Tanzania. "Hoja Binafsi ya Suleiman Masoud Nchambi kuhusu uzalishaji na ununuzi wa zao la pamba". https://www.parliament.go.tz/documents/member-s-private-motion
- ↑ Bunge Polis. "Nakaa ya Mtandaoni 10 Mei 2016". Mwongozo wa Spika ukiwemo Suleiman M. Nchambi. https://polis.parliament.go.tz/uploads/documents/1468489660-10MEI%2C2016.pdf
- ↑ Tanzania Court of Appeal. "Mantrac Tanzania Ltd vs Suleiman Masoud Suleiman & Others". https://media.tanzlii.org/media/judgment/265748/source_file/mantrac-tanzania-ltd-vs-junior-construction-company-ltd-others-2018-tzca-389-27-march-2018.pdf
| Makala hii kuhusu kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Suleiman Masoud Nchambi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |