Suhaila Siddiq

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Waziri wa Afya ya Umma wa Afghanistan
Waziri wa Afya ya Umma wa Afghanistan

Lt.Gen. Dr. Suhaila Siddiq (11 Machi 1949 [1] - 4 Disemba 2020), mara nyingi hujulikana kama Jenerali Suhaila, alikuwa mwanasiasa wa Afghanistan. Alihudumu kama Waziri wa Afya ya Umma kuanzia Desemba 2001 hadi 2004. Kabla ya hapo, alifanya kazi kama Daktari Mkuu wa Upasuaji katika jeshi la Afghanistan.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "گزارش از دوکتور نثار احمد صدیقی: زندگینامه پوهاند داکتر سهیلا صدیق". حقیقت (kwa Kiholanzi). Iliwekwa mnamo 2022-03-20.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Suhaila Siddiq kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.