Stralsund

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bandari ya Kale ya Stralsund
Stralsund

Stralsund ni mji wa Ujerumani ya kaskazini katika jimbo la Mecklenburg-Pomerini. Iko kando ya bahari ya Baltiki kuna bandari. Idadi ya wakazi ni mnamo 50,000.

Kihistoria Stralsund ilikuwa kati ya miji muhimu ya biashara katika shirikisho la Hanse. Kitovu cha kihistoria cha mji kimetunzwa vizuri ikapokelewa katika orodha la UNESCO la urithi wa dunia.

Baada ya vita ya miaka 30 ilikuwa sehemu ya ufalme wa Uswidi kwa miaka 200.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]


WikiMedia Commons
WikiMedia Commons

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Stralsund kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.