Stephen Hillary Ngonyani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Stephen Hillary Ngonyani ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Korogwe Vijijini kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017