Nenda kwa yaliyomo

Stephanie Nyombayire

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Stephanie Nyombayire (Desemba 1986) ni mkurugenzi mkuu wa mawasiliano katika ofisi ya rais wa Rwanda, mwakilishi wa mtandao wa kuchunguza mauaji ya kimbari, na mzaliwa wa Rwanda. Alihitimu katika Shule ya Kent huko Kent, Connecticut mnamo 2004 na chuo cha Swarthmore huko Swarthmore, Pennsylvania mnamo juni 2008.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Stephanie Nyombayire kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.