Steph Catley

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Catley akichezea Melbourne City mnamo 2015

Stephanie-Elise Catley (alizaliwa 26 Januari 1994)[1][2] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Australia ambaye anacheza kama mlinzi wa Arsenal na timu ya taifa ya Australia. Anaweza kucheza nafasi nyingi za ulinzi, kama vile beki wa kushoto, beki wa kati au beki wa mwisho (mwondoshaji mpira).[3][4]

Hapo awali alichezea Reign FC, Orlando Pride na Portland Thorns FC kwenye Ligi ya Soka ya Kitaifa ya Wanawake ya Marekani (NWSL) na vile vile Melbourne Victory na Melbourne City kwenye W-League ya Australia.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "FIFA Women's World Cup Canada 2015 – List of Players: Australia". FIFA.com. Fédération Internationale de Football Association. 6 July 2015. uk. 1. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 8 June 2019. Iliwekwa mnamo 27 December 2019.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)
  2. "Player profile – Stephanie Catley". Melbourne Victory FC. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 6 July 2011. Iliwekwa mnamo 6 October 2009.  Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  3. "Stephanie Catley". Westfield Matildas. Football Federation Australia. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-08-13. Iliwekwa mnamo 28 April 2017.  Check date values in: |accessdate= (help)
  4. "Melbourne City FC Sign Matilda Steph Catley". Melbourne City FC. 17 September 2015. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 13 August 2023. Iliwekwa mnamo 17 September 2015.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Steph Catley kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.