Nenda kwa yaliyomo

Stella Fiyao

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Stella Simon Fiyao ni mwanasiasa Mtanzania ambaye amekuwa mwakilishi wa Viti Maalum vya wanawake ambapo anahudumu kama mbunge tangu mwaka 2020 kwa niaba ya chama cha kisiasa cha CHADEMA, ambacho hata hivyo hakijamkubalia. [1][2]

  1. "Hon. Stella Simon Fiyao". Bunge la Tanzania.
  2. "Mdee aivimbia CHADEMA: "Hatuondoki, tumekuzwa Chadema tutapambana hadi mwisho"". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-07-19. Iliwekwa mnamo 2024-05-05.