Stanslaus Shingoma Mabula

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Stanslaus Shingoma Mabula ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Nyamagana kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017