Sri Jayawardenapura

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Sri Jayawardenapura
Sri Jayawardenapura is located in Sri Lanka
Sri Jayawardenapura
Sri Jayawardenapura
Mahali pa mji wa Sri Jayawardenapura katika Sri Lanka
Majiranukta: 6°54′39″N 79°53′16″E / 6.91083°N 79.88778°E / 6.91083; 79.88778
Nchi Sri Lanka
Mkoa Sri Lanka Magharibi
Wilaya Wilaya ya Colombo
Idadi ya wakazi (2001)
 - 115,826

Sri Jayawardenapura-Kotte ni mji mkuu wa Sri Lanka mwenye wakazi 115,826. Imekuwa mji mkuu tangu 29 Aprili 1982 badala ya jiji kubwa la jirani Colombo. Wakati ule jina lake likabadilishwa liliwahi kuitwa "Kotte" tu.

Hali halisi ni kama mji wa kando katika rundiko la mji wa Colombo.

Kotte iliwahi kuwa mji mkuu wa milki ya Kotte kabla ya kuja kwa ukoloni wa Wareno. Baadaye Colombo ilichukua nafasi ya makao makuu ya utawala wakati wa ukoloni na pia katika miaka ya kwanza wa uhuru. Ofisi za wizara kadhaa bado ziko Colombo.

Map of Asian states.png Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Sri Jayawardenapura kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.