Soumaya Ouerghi
Mandhari
Soumaya Ouerghi ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu nchini Tunisia. Alicheza kama golikipa wa Klabu ya ISSEP Kef fc pamoja na timu ya taifa ya wanawake ya Tunisia.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Kerkenni, Ameur (20 Novemba 2008). "Turess : La Tunisie tient en échec (0-0) le Nigeria" (kwa Kihispania). Le Temps. Iliwekwa mnamo 9 Agosti 2021.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Soumaya Ouerghi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |