Souad Dibi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Souad Dibi ni mwanaharakati wa haki za wanawake wa Moroko, raisi wa chama cha El Khir (kwa Kiingereza. : charity) kilichopo Essaouira, na ambacho lengo lake ni kutoa uhuru wa kiuchumi kwa wanawake kwa kukuza ushirikiano wao wa kitaaluma. [1] Kila mwaka zaidi ya wanawake mia moja hufuata programu ya elimu iliyoundwa ili kuwapa ujuzi wa kuzalisha mapato . Eneo hili la pwani ya Atlantiki ya Morocco ni eneo la watalii, lakini pia linaonyesha kuwa vijana na wanawake wengi ni masikini zaidi ya 30%.

Wasifu[hariri | hariri chanzo]

Souad Dibi alizaliwa huko El Jadida, karibu na Casablanca, na aliolewa na seremala kutoka pwani ya Morocco. Alikuwa mshonaji kabla ya kuanzisha chama chake. Dibi alianzisha El Khir mwaka 1998 kwa ajili ya wanawake wa Essaouira waliotelekezwa na awana na rasilimali yoyote ya kuishi(kipato). [2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mbog, Raoul Mbog (7 March 2015). "Neuf femmes qui font avancer l'Afrique". Le Monde Afrique. Iliwekwa mnamo 8 November 2017.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  2. Raoul, Mbog (22 October 2014). "El Khir, l'ONG qui change la vie des femmes d'Essaouira". Slate Afrique. Iliwekwa mnamo 8 November 2017.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Souad Dibi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.