Nenda kwa yaliyomo

Sophia Omotola Omidiji

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sophia Omotola Omidiji

Picha ya Sophia akiwa kambini na Timu ya Taifa ya Vijana ya Nigeria chini ya miaka 20
Amezaliwa 18 Juni 1997
Las Vegas, Nevada, Marekani
Nchi Nigeria
Kazi yake Mchezaji wa soka

Sophia Omotola Omidiji (alizaliwa 18 Juni 1997) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Nigeria ambae anacheza katika timu ya taifa ya wanawake ya Nigeria amesajiliwa katika Klabu ya S.B.V. Excelsior nchini Uholanzi baada ya kutoka katika klabu ya KAA Gent nchini Ubelgiji mwezi Juni 2017.[1][2][3]

  1. "Sierra Vista Girls Soccer". Nevada Preps. Iliwekwa mnamo Septemba 28, 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Sierra Vista Girls Soccer". Nevada Preps. Iliwekwa mnamo Septemba 28, 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "GotSoccer Team Detail". Got Soccer. Iliwekwa mnamo Septemba 28, 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sophia Omotola Omidiji kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.