Sophia Edward Mwasikili
Mandhari
Sophia Edward Mwasikili | |
Nchi | Tanzania |
---|---|
Kazi yake | mlinzi |
Sophia Edward Mwasikili (alizaliwa 4 Aprili 1986) ni mwananchi wa Tanzania mchezaji wa mpira wa miguu na mlinzi na kiongozi wa timu ya taifa ya wanawake Tanzania.
Mwasikili aliichezea Tanzania katika ngazi ya juu wakati wa kufuzu kwa Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake 2018[1].