Sooronbay Jeenbekov

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sooronbay Jeenbekov (2017)

Sooronbay Sharipovich Jeenbekov (kwa Kikirgizi: Сооронбай Шарипович (Шарип уулу) Жээнбеков; alizaliwa 16 Novemba 1958) ni mwanasiasa wa Kirgizia, kwa sasa Rais wa nchi. Alianza kazi rasmi tarehe 24 Novemba 2017.

Awali alikuwa Waziri Mkuu wa Kyrgyzstan kutoka Aprili 2016 hadi Agosti 2017.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sooronbay Jeenbekov kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.