Sonya Belousova

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Belousova akitumbuiza vipande vya piano na mshindi wa Tuzo ya Grammy Jorge Calandrelli kwenye Tuzo za Alama za Dhahabu za 2014
Belousova akitumbuiza vipande vya piano na mshindi wa Tuzo ya Grammy Jorge Calandrelli kwenye Tuzo za Alama za Dhahabu za 2014

Sonya Belousova ( 4 Februari, 1990) Mtunzi wa filamu, mpiga kinanda na msanii mwenye asili ya Urusi ambaye anaishi katika mji wa Los Angeles, California nchini Marekani. Belousova ni mshindi wa kimataifa wa utungaji katika mashindano ya piano.[1] Alitambuliwa kama prodigy akiwa mtoto, akiwa na umri wa miaka 13. Belousova alipata tuzo ya utungaji bora wa muziki.[2][3]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "Sonya Belousova — Official website". SonyaBelousova.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-08-10. Iliwekwa mnamo 2015-10-15.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  2. "Достижения". Санкт-Петербургская детская музыкальная школа № 11 (kwa Kirusi). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-01-05. Iliwekwa mnamo 2015-10-14.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help)
  3. "YouTube's Player Piano Turns Gaming Tunes Into Fantasy Videos". Classical 101. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-01-05. Iliwekwa mnamo 2015-10-15.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sonya Belousova kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.