Nenda kwa yaliyomo

Son of the Mask

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Son of the Mask ni filamu ya ucheshi ya 2005 iliyoelekezwa na Lawrence Guterman.

Mhusika mkuu wa filamu hii ni Jamie Kennedy kama Tim Avery, mchoraji katuni ambaye ametoka mji wa Fringe ambaye amezaa mtoto wake wa kwanza mwenye nguvu za kinyago cha kichawi. Ni mfano wa pekee wa filamu ya 1994 The Mask, muundo wa Jumuiya za darck horse ambayo iliigiza Jim Carrey na Cameron Diaz.

Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Son of the Mask kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.