Sodoma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kielelezo cha Sodoma na Gomora kadiri ya Hartmann Schedel, 1493. Mke wa Loti, katikati, ameshageuka nguzo ya chumvi.

Sodoma ulikuwa mji wa Bonde la Ufa kati ya Palestina na Yordani za leo.

Ni maarufu kutokana na jinsi ulivyoangamia kadiri ya Biblia na Kurani ambazo zinamzungumzia sana kama kielelezo cha dhambi, hasa ya ushoga.

Hata hivyo Yesu alisema miji isiyotubu kwa mahubiri na ishara zake itapatwa na adhabu kubwa zaidi.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.