Snura Anton Mushi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Snura Anton Mushi (alizaliwa katika Hospitali ya Ocean Road jijini Dar es Salaam mwaka 1984 ni mwigizaji wa filamu kutoka Tanzania. [1]

Elimu[hariri | hariri chanzo]

Mwaka 1991 alianza safari yake ya masomo katika Shule ya Msingi Yombo Vituka jijini Dar es Salaam.

Alipomaliza darasa la saba hakuendelea kutokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo wake.

Shughuli[hariri | hariri chanzo]

Mwaka 2006 aliaanza kazi ya usanii katika filamu ya Mfalme Seuta iliyo directiwa na Director’ wa Mwananchi Production anayeitwa Gumbo Kihorota na baadaye alicheza filamu kama Zinduna na Hitimisho.

Mwaka 2007 alijiunga na Tuesday Kihangala ‘Mr. Chuzi’ ndipo akajiunga na Jumba la Dhahabu na nyinginezo. [2]

Pia baadae alianza rasmi kuingia kwenye Tasnia ya Muziki wa kizazi kipya

Baadhi ya filamu alizoigiza[hariri | hariri chanzo]

  • 1. Mfalme Seuta
  • 2. Zinduna
  • 3. Hitimisho
  • 4. Jumba la Dhahabu

Baadhi ya nyimbo alizoimba[hariri | hariri chanzo]

  • 1. Majanga[3]
  • 2. Shindu[4]
  • 3. Vumbi la mguu[5]
  • 4. Ushaharibu[6]
  • 5. NANI[7]
  • 6. Nionee wivu[8]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Biofilm.png Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Snura Anton Mushi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.