Slim Burna

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Slim Burna, 2013

Gabriel Soprinye Halliday (anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii Slim Burna; amezaliwa Essex, 11 Aprili 1988) ni rapa, mwimbaji na mtayarishaji wa rekodi kutoka Port Harcourt, Rivers State, Nigeria.

Mwaka 2013, alitoa albamu mixtape yake ya kwanza iliitwa I'm on Fire.[1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Port-Harcourt Musician, Slim Burna To Release New Mixtape "I'm on Fire". leadership.ng (27 August 2012). Jalada kutoka ya awali juu ya 31 August 2013. Iliwekwa mnamo 21 July 2014.
  2. Slim Burna pushes "I'm on fire" mixtape. Vanguardngr.com (28 February 2013). Iliwekwa mnamo 18 October 2017.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Musical notes.svg Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Afrika bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Slim Burna kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.