Skrinikugusa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Katika utarakilishi, skrinikugusa (pia: skrini ya kugusa[1]; kwa Kiingereza: touchscreen au touch screen) ni viwambo vinavyoweza kuwa kitumi cha kiingizio au kitumi cha kitoleo ambavyo vinawekwa juu ya kitumi cha kielektroniki kama vile kompyuta bapa au simujanja. Kwa kawaida, uonyesho wa srinikugusa ni LCD au OLED.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Kiputiputi, O. (2011). Kamusi sanifu ya kompyuta. Taasisi ya Taaluma za Kiswahili, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, K.602.