Nenda kwa yaliyomo

Skandi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Skandi
Skandi katika testitubu
Skandi katika testitubu
Jina la Elementi Skandi
Alama Sc
Namba atomia 21
Mfululizo safu Metali
Uzani atomia 44.9559
Valensi 2, 8, 9, 2
Ugumu (Mohs) {{{ugumu}}}
Kiwango cha kuyeyuka 1814 K (1541 °C)
Kiwango cha kuchemka 3109 K (2836 °C)
Asilimia za ganda la dunia 5 · 10-4 %
Hali maada mango

Skandi ni elementi na metali yenye namba atomia 21 na alama Sc katika mfumo radidia wa elementi. Ni metali mpito haba yeye rangi nyeupe-kimajivu inayomenyuka haraka na dutu nyingine.

Kutokana na uhaba wake hakuna matumizi mengi yaliyopo ni kama kiungo katika taa za kung'arisha sana. Takriban kg 80 zatumiwa duniani kila mwaka kwa kusudi hii.

[[:Category:{{{1}}}|{{{1}}}]]