Nenda kwa yaliyomo

Sixto Agudo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sixto Agudo González (Torrijos, 25 Agosti 1916 - 29 Juni 2004) alikuwa mwanasiasa wa Hispania na mwanachama wa harakati za upinzani wakati wa Vita vya Pili vya Dunia.[1][2] Jina lake la vita lilikuwa 'Blanco'.[3] Alikuwa ameoa Ángeles Blanco Brualla, meya wa kwanza wa Chama cha Kikomunisti huko Aragón.[2]

  1. Foro por la Memoria. Obituario: Fallecimiento del histórico militante comunista Sixto Agudo
  2. 2.0 2.1 Monserrat, Concha. "Sixto Agudo, dirigente del PCE y ex diputado de las Cortes de Aragón", El País, 1 July 2004. Retrieved on 14 April 2013. 
  3. Asenjo, Mariano; Ramos, Victoria (2 Juni 2008). Malagón: autobiografía de un falsificado (tol. la 2d). Mataró: Editorial El Viejo Topo. uk. 69. ISBN 978-84-96831-70-4. Iliwekwa mnamo 14 Aprili 2013.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sixto Agudo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.