Simon Mignolet

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Simon Mignolet akidaka mkwaju wa penalti.

Simon Mignoilet (amezaliwa 26 Machi 1988) ni mchezaji anayecheza kama mlinda mlango au golikipa wa klabu ya Club Brugge iliyopo nchini Ubelgiji na timu ya taifa ya Ubelgiji.

Mignolet alianza kazi yake katika ligi daraja la pili huko nchini Ubelgiji Sint-Truiden mwaka 2004 na alidumu katika klabu hiyo kwa miaka 6 hadi mwaka 2010 aliweza kuhamia Liverpool F.C. mnamo mwaka 2013 kwa £ million 9.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Simon Mignolet kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.